JAYZ- AJISOGEZA UGANDA
Rapper na mwanamuziki nguli wa mziki wa hiphop nchini Marekani JAYZ ameripotiwa na chombo cha habari cha THE INSIDER kuwa amefungua tawi la club yake almaarufu kama CLUB 40/40 katika jiji la kampala nchini Uganda.
the Insider imeripoti kuwa CLUB 40/40 iliyopo nchini humo itakuwa ni tawi la kwanza kabisa nchini Afrika la CLUB YA 40/40 ambayo kwa sasa imekuwa na umaarufu mkubwa miongoni mwa wasanii na watu maarufu nchini Marekani
Posted by DENNIS JUMA
on Tuesday, September 30, 2014,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Response to "JAYZ- AJISOGEZA UGANDA"
Post a Comment