Latest Updates

HIVI NDIVYO ILIKUWA MAVOCO ALIPOTAKIWA KUSHOOT VIDEO KARIBU NA MNYAMA CHEETAH

Ni baada ya watanzania wengi kupongeza juu ya ubunifu na uzuri wa video mpya ya wimbo wa msanii Richard Mavoco ulioshutiwa huko capetown Afrika ya kusini ambapo ndani ya wimbo huo msanii Richard mavoco anaonekana akiimba karibu kabisa na mnyama wa porini aina ya cheetah, msanii huyo amefunguka juu ya vile alivyopatwa uwoga wakati wa zoezi zima la kupiga picha na cheetah" "Nakumbuka wakati tumefika pale hali ilibadirika ghafla cause mpango ulikuwa ni kwamba Cheetah apigwe shot za peke yake akiwa anatenbea,lakini Adam akabadilisha script akasema Mavoco inabidi uimbe na Cheetah,mwanzo niligoma kabissa lakini kwa ushawishi wa yule mama anayemfuga na Adam ikajikuta nimekubali.

0 Response to "HIVI NDIVYO ILIKUWA MAVOCO ALIPOTAKIWA KUSHOOT VIDEO KARIBU NA MNYAMA CHEETAH"

Post a Comment