Home » Archive for 2013
SIKILIZA HIPHOPZONE NA FLAVOUR ZA CHAPTER HAPA

Posted by DENNIS JUMA
at 4:34 AM,
Add Comment
Read more
50cent akana kosa la unyanyasaji
Rapa Curtis Jackson a.k.a 50cent emefunguka na kukana kosa la unyanyasaji , mashitakaka yaliyo fungunguliwa hivi majuzi na aliyekuwa girlfriend wake.
mwanadada huyo alimshitaki 50 mahakamani akidai kunyanyaswa na kupigwa teke na rapa huyo.wanasheria wa 50cent amefunguka katika mahojiano naTMZ kuwa mteja wake anahatia na pia 50cent mwenyewe amekana kuhusika na tukio hilo.
Mwanadada huyu anaye daiwa kuzaa na 50cent alidai kuwa tukio hilo lilitokea walipokuwa nyumbani na ghafla kukatokea kutokuelwana kati yao tendo lililopelekea mrembo huyo kukimbilia bafuni na kujifungia huko, ni baada tu ya kufanya hivyo ndipo rapa huyo alipokuja na kumlazimisha afungue mlango na baada ya dada huyo kukataa ndipo hapo 50cent alipoamua kuupiga teke mlango tendo lililomsababishia maumivu makali mwanadada huyo.
lakini ikumbukwe kuwa tangu mashitaka hayo yafikishwe mahakamani hakuna kibari chochote kilichotolewa na polisi kinacho halalisha rapa huyo kuwekwa kizuizini.
Posted by DENNIS JUMA
at 12:38 AM,
Add Comment
Read more
Subscribe to:
Comments (Atom)
