Latest Updates

P FUNK KUTOKA NA NO NAME

Producer mkongwe wa mziki wa kizazi kutoka studio za Bongo Records, P funk amefunguka kupitia ukurasa wake wa face book kuwa wiki hii single ya kwanza kutoka katika album ya kundi la No name itaanza kusikika redioni kuanzia leo.
kundi la NO NAME linaundwa na maproducer Lamar,Dunga, John Mahundi,P Funk na Karabani,single itakayojulikana kwa jina la HANDS UP.
P funk aliweka wazi kuwa albamu hiyo ya pamoja itakuwa na mchanganyioko wa ladha tofauti tofauti kama vile ragga;Bongo favaor,afro pop na Soca.

VIDEO OF THE DAY-UNSTABLE SCIENCE BY LUFU


T.I AZINDUA KAMPENI YA GIVE LIKE A KING

T.I          
Nyota wa mziki wa rap kutoka Atlanta T.I anatarajia kuzindua kampeni ya "GIVE LIKE A KING" yenye lengo la kuhamasisha watu kuchangia fedha kwa ajili ya watu wasio na makazi .
kampeni hiyo itakayo zinduliwa na rapa T.I siku ya ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu,katika uzinduzi huo T.I ataeleza ni jinsi gani ameweza kushirikiana na shirika la Veterans Empowerment Organization( VEO) kuwahamasisha maelfu ya washabiki wa mziki wa rap nchini marekani kuchangia fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wasio na makazi nchini Marekani;
kwa mujibu wa shirika la VEO watu zaidi ya 300;000 hulala nje kila siku inapofika usiku nchini humo hivyo kampeni hiyo imelenga  kuwasaidia watu hao kuondokana na tatizo hili sugu linalowakabiri.

shirika la VEO linashughulika na huduma za maladhi na makazi kwa watu wasio na makazi nchini Marekani.














'

JOURNALIST SHOULD WALK ALONG THEIR LINE

CHRISOSTOM RWEYEMAMU


DEAN OF  SJMC DK MAKOYE ADRESSING STUDENTS



Journalists have been advised to stick to the ethical codes of conduct governing the profession, and the laws of the land in order to promote peace and harmony among Tanzanians.
 This was said by the Director of Training at New Habari Cooperation, Mr Chrisostomu Rweyemamu at the University of Dar es Salaam, School of Journalism and Communication (SJMC) during a panel discussion on the “Nurturing upcoming media professionals “a road map to professional and ethical practice.
Mr Rweyemamu

RAIS WA LIBYA AWEKA WAZI KUWA LIBYA BADO HAIJAKOMOLEWA KIKAMILIFU

kiongozi wa mpito wa LIBYA bwana MOHAMED MAGARIEF

Ikiwa imepita mwaka mmoja baada ya kuuwawa na kupinduliwa kwa rais wa Libya Mohamar Ghadafi hali ya kisiasa nchini humo imeendelea kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa Gaddafi,
kiongozi wa mpito bwana Mohamed Magarief amethibitisha hali hiyo akitolea mfano shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji katika mji wa Banni Walid ambao ndiyo shina la Ghadafi,bwana Magarief alisema kuwa kucheleweshwa kwa zoezi la kuwanyanganya silaha wapiganaji hao kutaendelea kuhatarisha amani nchini humo.