Latest Updates

P FUNK KUTOKA NA NO NAME

Producer mkongwe wa mziki wa kizazi kutoka studio za Bongo Records, P funk amefunguka kupitia ukurasa wake wa face book kuwa wiki hii single ya kwanza kutoka katika album ya kundi la No name itaanza kusikika redioni kuanzia leo.
kundi la NO NAME linaundwa na maproducer Lamar,Dunga, John Mahundi,P Funk na Karabani,single itakayojulikana kwa jina la HANDS UP.
P funk aliweka wazi kuwa albamu hiyo ya pamoja itakuwa na mchanganyioko wa ladha tofauti tofauti kama vile ragga;Bongo favaor,afro pop na Soca.

0 Response to "P FUNK KUTOKA NA NO NAME"

Post a Comment