Latest Updates

RAIS WA LIBYA AWEKA WAZI KUWA LIBYA BADO HAIJAKOMOLEWA KIKAMILIFU

kiongozi wa mpito wa LIBYA bwana MOHAMED MAGARIEF

Ikiwa imepita mwaka mmoja baada ya kuuwawa na kupinduliwa kwa rais wa Libya Mohamar Ghadafi hali ya kisiasa nchini humo imeendelea kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa Gaddafi,
kiongozi wa mpito bwana Mohamed Magarief amethibitisha hali hiyo akitolea mfano shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji katika mji wa Banni Walid ambao ndiyo shina la Ghadafi,bwana Magarief alisema kuwa kucheleweshwa kwa zoezi la kuwanyanganya silaha wapiganaji hao kutaendelea kuhatarisha amani nchini humo.

0 Response to "RAIS WA LIBYA AWEKA WAZI KUWA LIBYA BADO HAIJAKOMOLEWA KIKAMILIFU"

Post a Comment