![]() | ||||||||||
| T.I |
kampeni hiyo itakayo zinduliwa na rapa T.I siku ya ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu,katika uzinduzi huo T.I ataeleza ni jinsi gani ameweza kushirikiana na shirika la Veterans Empowerment Organization( VEO) kuwahamasisha maelfu ya washabiki wa mziki wa rap nchini marekani kuchangia fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wasio na makazi nchini Marekani;
kwa mujibu wa shirika la VEO watu zaidi ya 300;000 hulala nje kila siku inapofika usiku nchini humo hivyo kampeni hiyo imelenga kuwasaidia watu hao kuondokana na tatizo hili sugu linalowakabiri.
shirika la VEO linashughulika na huduma za maladhi na makazi kwa watu wasio na makazi nchini Marekani.
'

0 Response to "T.I AZINDUA KAMPENI YA GIVE LIKE A KING"
Post a Comment